Monday 13 April 2015

Story kubwa Magazetini leo April 13 2015


 Juma tatu ya leo April 13 hizi ndizo story kipaombelee kwenye amagazeti.
Kiongozi wa ACT Zitto Kabwe, amemtaka Waziri wa Uchukuzi kufanya uchunguzi kuhusu mradi mpya wa Rumemalira, ajali yaua watu 18, baada ya basi kugongana na lori na kuwaka moto huko Morogoro, Shule mbalimbali za Serikali zimefungwa kutokana na ukosefu wa chakula, Watanzania wametakiwa kuiga maisha ya Edward Sokoine kwa kupenda amani na kutetea wanyonge.
Rais Kikwete amewataka viongozi wa dini wasiruhusu siasa katika nyumba za ibada, Askofu Gwajima amemuomba Rais Kikwete avikemee vyombo vya dola vinavyo mhoji mambo binafsi, Dr. Slaa ameanza ziara ya siku tisa nchini Marekani, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda amesema Watanzania wanaoishi nje ya nchi hawataweza kupiga kura uchaguzi mkuu mwaka 2015, Meya wa Manispaa ya Kinondoni Yusuph Mwenda ameshinda Tuzo ya Meya bora Tz.

0 comments:

Post a Comment