Friday 17 April 2015

AJALI ZAENDELEA KUIANDAMA TANZANIAA,18 WAFARIKI MBEYA HIIVI PUNDEE!!!!..

Muonekano wa gari hilo lilioingia mtoni
Miili ya watu waliofariki katika ajali hiyo



Ajali hiyo imetokea leo wakati wa asubuhi baada ya gari dogo aina ya Toyota Hiace, kutumbukia mtoni katika eneo la kiwira mkoani humo.


Kiwale11blog,imezungumza na kamanda wa polisi mkoani humo Ahmed Msangi na kuelezea mazingira ya ajali hiyo msikie hapa chini.

 

 

0 comments:

Post a Comment