Tuesday 21 April 2015

Unafahamu kuwa kuna mafua yasiyopona kabisaa.???

Wako watu ambao tatizo la mafua kwao limeshakuwa kama sehemu ya maisha yao yaani wiki haiishi hujamwona ana mafua.

Na kama ulikuwa hufahamu kuna aina mbili za mafua,yapo mafua yanayopona na mafua ambayo ni ya kuzaliwa haya huwa hayaponi kabisa.
Kimsingi mafua yanasababishwa na uambukizo wa virusi vya mafua.Wataalamu wa maswala ya afya na tiba wanasema kuwa, kuna aina zaidi ya 200 za virusi vinavyosababisha mafua ingawa virusi aina ya rhinoviruses vilivyogunduliwa miaka ya 1950, ndivyo vinasababisha mafua kwa kwa asilimia 30 hadi 80.
Kiwale11 blog imezungumza na daktari Makwale kutoka kituo cha Afya cha Maria Stopes jijini mbeya.
Bonyeza hapa chini umsikie kwa uzuri kabisa anatupatia elimu zaidi juu ya tatizo la mafua na utafahamu kwa nini kuna mafua yanayopona na yasiyopona.

0 comments:

Post a Comment