Wednesday, 8 April 2015

Polisi mwingine aua mtu mweusi, Marekani.!!!



Wakuu katika jimbo la South Carolina nchini Marekani wamemhukumu Afisa mmoja wa polisi mweupe, kwa kosa la mauaji.
Mtuhumiwa huyo anadaiwa kumpiga risasi raia mmoja mweusi na kumuuwa.
Picha ya Video ya kilichofanyika imewekwa mtandaoni.
Mkanda huo wa video unaonesha mtu mmoja kwa jina Walter Scott, akipigwa risasi alipokuwa akimkimbia afisa huyo,Tizama video hapa chini.

Related Posts:

  • MAANDAMANO DHIDI YA TRUMP YAPAMBA MOTO… Maelfu ya watu pasina kujali dini na rangi zao wameshadidisha maandamano katika kona mbali mbali za Marekani, kulaani sheria tata ya ubaguzi iliyopasishwa na Rais Donald Trump wa nchi hiyo hivi karibuni. Maandamano ha… Read More
  • EWURA YAPANDISHA BEI YA MAFUTA... Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imepandisha bei za mafuta ya aina zote kuanzia leo isipokuwa Mkoa wa Tanga pekee. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Mkuu Felix Ngalamgosi,  jijini Dar es salaam … Read More
  • NG'OMBE 150 KUCHINJWA SHEREHE YA MUGABE.. Chama kinachotawala nchini Zimbawe Zanu-PF, kimeanza kuchangisha pesa kwa sherehe za siku ya kuzaliwa ya Rais Robert Mugabe ambaye anahitimiza miaka 93. Waandalizi wa sherehe hizo wanasema kuwa wanataka kuchangisha ng'o… Read More
  • EU: DONALD TRUMP NI TISHIO KWA ULAYA… Rais wa Baraza la muungano wa Ulaya Donald Tusk ameonya kwamba maamuzi ya kutia wasiwasi yanayofanywa na Donad Trump ni miongoni mwa chanagmoto zinazokumba muungano huo. Amesema kuwa mabadiliko yaliofanyika nchini Marek… Read More
  • BUNGE LAPITISHA MSWADA WA SHERIA YA MSAADA WA KISHERIA 2016… Bunge la jamhuri ya muungano wa TANZANIA limepitisha muswada wa sheria ya msaada wa kisheria. Bunge la jamhuri ya muungano wa TANZANIA limepitisha muswada wa sheria ya  msaada wa kisheria wa mwaka 2016. Akiwasilis… Read More

0 comments:

Post a Comment