KICHAA CHA MBWA HUU WATU ZAIDI YA 1000 KILA MWAKA NCHINI….
Imeelezwa kuwa watu elfu 1 mia 6 hasa watoto hufa nchini
kila mwaka, kutokana na ugonjwa wa
kichaa cha mbwa.
Hayo yalielezwa jana na Katibu
Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Dk Mary Mashingo.
Dk Mashingo …Read More
WAKATI BORA WA KUPEWA CHANJO YA HOMA…
Na utafiti nchini Uingereza unaonesha kuwa, chanjo ya
homa ni bora zaidi iwapo mtu atapewa majira ya asubuhi badala ya alasiri.
Watafiti wamebaini kuwa uwezo wa
mwili wa mtu una nguvu mno kuwa na matoke bora iwapo mtu a…Read More
UKILALA KATIKA KITANDA KIPYA HUTALALA VYEMA…!!
Je
ushawahi kugundua kuwa ukilala katika kitanda au mazingira mapya haupati
usingizi wa kutosha?
Sasa Utafiti umebaini kuwa mtu
akilala katika mazingira mapya ubongo wake haulali wote!
Upande wa kushoto wa ubongo huw…Read More
MAELFU WAANDAMANA NORTH CAROLINA….
Maelfu ya waandamanaji wamesafirishwa kwa mabasi hadi
katika mji mkuu wa jimbo la North Carolina nchini Marekani ili kufanya
maandamano.
Waandamanaji hao wameenda ili kuunga mkono na wengine kupinga
sheria mpya ya kit…Read More
MKE WA KIBAKI AFARIKI……
Mke wa Rais mstaafu wa Kenya Mwai Kibaki Lucy Kibaki,
amefariki dunia leo jijini London, Uingereza alipokuwa akipatiwa matibabu.
Kwa mujibu wa taarifa ya Rais
Uhuru Kenyatta, Lucy Kibaki amefariki katika hospitali ya …Read More
0 comments:
Post a Comment