Thursday 16 April 2015

Mamlaka ya hali ya hewa yatoa somo kuhusu Radi!!

Kufuatia matukio mbali mbali ya vifo yanayosababishwa na matukio ya Radi hapa nchini,mamlaka ya hali ya hewa nchini kupitia kwa mkurugenzi wake Iness Kijazi amezungumza na kiwale11blog na kuelezea ni kwa jinsi gani Radi inavyotokea na kusababisha madhara.
Mbali na hayo pia Kijazi ametoa tahadhari ambazo ni muhimu kufuatwa hususani wakati mvua zinaponyesha katika maeneo mbali mbali.
Msikie hapa chini Dr Iness Kijazi akieleza zaidi.


0 comments:

Post a Comment