Tuesday, 28 April 2015

Je,wewe hupatwa na maumivu ya mgongo?

Sokwe


Watu wenye maumivu ya mgongo wana uwezekano mkubwa wa maumbile ya mgongo wao kuwa sawa na ule wa sokwe.

Jeraha linalojitokeza katikati ya vipande vya mifupa ya uti wa mgongo ndio sababu tofauti ya maumbile.
Jeraha hilo hubadilisha uti wa mgongo kwa kuwa binaadamu walibadiliko kutoka kutumia miguu minne hadi miguu miwili.
Watafiti wanasema kuwa matokeo yao yanaweza saidia madaktari kuwajua wale wanaokabiliwa na hatari ya kupata matitizo ya mgongo.
Utafiti huo uliochapishwa katika BMC revolution biology, uliwashirikisha wanasayansi kutoka Scotland, Canada na Iceland.
Timu ya utafiti ilichambua wanyama walio na uti wa mgongo kama vile sokwe, pamoja na mifupa ya kale ya binadamu ili kuchunguza uhusiano kati ya maumbile ya mifupa ya mgongo, harakati na afya ya mgongo wa binadamu

Related Posts:

  • ALIYEWANG'OA MENO WATU 100 ASHTAKIWA UFARANSA..!! Daktari moja wa meno mholanzi, ameshtakiwa nchini Ufaransa kwa kuwakata midomo zaidi ya wateja wake 100 maksudi. Daktari huyo anayefahamika kwa majina kamili ya Jacobus van Nierop, anakabiliwa na mashtaka ya k… Read More
  • SAMAKI HATARINI KUTOWEKA AFRIKA..! Mazao ya samaki yapo hatarini kutoweka barani Afrika, ikiwamo Tanzania iwapo mfumo wa usimamizi katika sekta ya uvuvi hautaboreshwa. Mtaalamu wa masuala ya uvuvi endelevu Profesa Martin Tsamenyi, aliwaambia wanahabari n… Read More
  • ATUNGWA MIMBA YA PACHA NA WANAUME WAWILI…...! Mapacha wa kipekee wamezaliwa nchini Vietnam, baada ya kugundulika kuwa walitungwa na baba wawili tofauti. Taarifa zinasema familia za mapacha hao iligundua kuwa watoto hawakufanana hata kidogo, hivyo ikawalazimu kufany… Read More
  • HOTUBA YA RAIS DR MAGUFULI ARUSHA. Tarehe 3 mwezi wa tatu Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Dr John Pombe Magufuli, alizindua jiwe la msingi la ujenzi wa barabara inayoanzia Arusha mpaka eneo la voi nchini Kenya. Kama ulipitwa na yale aliyoyazun… Read More
  • JUA LANASWA NA MWEZI INDONESIA… Raia Indonesia wameshuhudia jua likizibwa kikamilifu na mwezi.ikiwa ndio nchi pekee iliyoshuhudia tukio hilo kote duniani. Hoteli zilizopo katika maeneo mazuri ya kushuhudiwa jua likinaswa zilijaa miezi kadhaa iliopita,… Read More

0 comments:

Post a Comment