Tuesday 21 April 2015

ANTENNA SHOW YA RADIO 5 APRIL 20 2015 HII HAPA!!

 Show inakuwa hewani hapa Radio 5 kila juma tatu mpaka ijuma kuanzia saa kumi kamili jioni mpaka saa kumi na mbili na nusu jioni,unakosaje sasa mkusanyiko wa matukio,habari na mammbo mengi ya siku nzima hapa ndio nyumbani DONT MISS Mondaya to Friday 10 pm to 12:30pm

Kama ulimis kuisikiliza show ya Antenna siku ya juma tatu tar 20-4-2015 unaweza kuisikiliza hapa chini kwa kubonyeza tu play uipate walau kidogo.



0 comments:

Post a Comment