Tuesday, 21 April 2015

Mawaziri 16 waapishwa Afghanistan..

Baada ya miezi kadha ya mizozo ya kisiasa, rais wa Afghanistan Ashraf Ghani amewaapisha mawaziri 16 wapya kwenye sherehe zilizofanyika mjini Kabul.

Hii inamaanisha kuwa baraza la mawaziri sasa limekamilika. Nafasi ya waziri wa ulinzi imesalia wazi kufuatia kutoelewana kwa serikali ya umoja.
Wale wote walioteuliwa hawajashikilia nyadhifa kama hizo na wengi ni vijana na waliosoma. Wanne kati ya mawaziri hao ni wanawake.
Kinyume na ilivyo kuwa awali, rais Ghani ameahidi kuwateua watu walio na ujuzi badala ya mibabe wa kivita na wapiganaji kuongoza serikali.
>>>>Bbc

Related Posts:

  • Kasisi basha aishtaki kanisa kumbagua…!!! Kasisi basha aishtaki kanisa kumbagua Kasisi mmoja ambaye alinyimwa leseni ya kufanya kazi kama mhudumu katika zahanati ya afya kwa misingi ya kuwa katika ndoa ya jinsia moja,amelishtaki kanisa kwa kumbagua. Kasisi Jerem… Read More
  • Askofu kushtakiwa kwa kudhulumu watoto…!!! Askofu Josef Weslowski kushtakiwa kwa kudhulumu watoto Kiongozi wa kanisa katoliki duniani Papa Francis, ameonekana kuanza kuwakabili makasisi waliotuhumiwa kwa sakata ya ngono. Askofu mmoja aliyekua mjumbe wa papa katik… Read More
  • Raia Nigeria wapinga posho za wabunge…!!! Wananchi wa Nigeria wamechukizwa na taarifa kwamba wabunge wamejiidhinishia mamilioni ya dola kwa ajili ya posho ikiwemo ya mavazi. Gazeti moja nchini Nigeria limesema kuwa kwa mujibu wa sheria ya posho inayohusisha pi… Read More
  • Kiongozi wa Al Qaeda nchini Yemen auawa…!! Kiongozi wa Al Qaeda nchini Yemen auawaTawi la kundi la Al Qaeda nchini Yemen limethibitisha kuuawa kwa kiongozi wake wakati wa shambulizi la ndege isiyokuwa na rubani ya Marekani.Ripoti kutoka kwa maafisa wa usalama nchini… Read More
  • Unafahamu kwa nini kuna siku ya mtoto wa Africa…!!! Tarehe 16 Juni ya kila mwaka Tanzania huungana na Nchi nyingine za Afrika kuadhimisha Siku ya Mtoto wa Afrika. Mnamo mwaka 1990 uliokuwa Umoja wa Nchi Huru za Afrika (OAU),ulipitisha Azimio la kuwakumbuka watoto wa ki… Read More

0 comments:

Post a Comment