Monday 20 April 2015

Wenye VVU wanaweza kujifungua watoto salama kabisa!!!!



Kumekuwepo na mitizamo tofauti juu ya mama mjamzito mwenye maambukizi ya virusi vya ukimwi kujifungua mtoto asiye na maambukizi.

Watu wengi wamekuwa na hofu kuwa mwanamke akishapata maambukizi ya VVU basi hata watoto atakaojaliwa kuwapata na wenyewe lazima watakuwa tayari wameadhirika na ugonjwa huo.
Sasa leo nakuletea Dr Makwale toka kituo cha Afya cha Maria Stopes cha mbeya hapa anatuelezea uwezekano wa mama mwenye maambukizi ya VVU kujifungua mtoto asiye na maambukizi.


0 comments:

Post a Comment