Wednesday, 8 April 2015

DONT MISS ANTENNA SHOW KWA HEWA RADIO 5 MONDAY-FRIDAY 4 PM TO 6:30 PM


 
KIWA STRONG (Nusu mtu nusu mashine)
      ERNEST MATUNDIRO (Prince de la ville)
 WENDE MPEMBWA (Queen of Love)
 Dj Ibra (Ibra Cadabraah)
Kutana nasi kila juma tatu mpaka ijumaa kuanzia saa kumi jioni mpaka kumi na mbili na nusu kwenye kipindi cha Antenna place ni Radio 5, show imejaa Habari mchanganyiko, mahojiano,mazungumzo,utabiri wa hali ya hewa,habari za michezo n.k







Related Posts:

  • VIDEO MPYA: DIAMOND FT NE-YO-MARRY YOU Baada ya kusubiriwa kwa muda mrefu video ya Diamond Platnumz ya wimbo wake Marry You aliomshirikisha Ne-Yo imetoka. Kwa mara ya kwanza video hii imewekwa kwenye channel ya Vevo ya staa huyo. … Read More
  • APANDISHWA KIZIMBANI KWA DAWA ZA KULEVYA..! Mwanamke mmoja mkazi wa Tegeta kwa Ndevu jijini Dar es Salaam, Zena Hakika (32), amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya Kinondoni kwa tuhuma za kupatikana na dawa za kulevya jana. Wakili wa Serikali, Tumain… Read More
  • UKILA ZABIBU MARA KWA MARA HUTAUGUA BAWASILI ZABIBU ni matunda matamu yanayopendwa na watu wengi. Matunda haya yana faida nyingi kiafya katika mwili wa binadamu. Matunda haya yalianza kulimwa huko nchini Uturuki, lakini kwa hapa kwetu nchini yanapatikana zaidi mko… Read More
  • MBOWE NA NAIBU SPIKA DR TULIA NDANI YA BIFU JIPYA Mvutano umeibuka bungeni kati ya Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani, Freeman Mbowe na Naibu Spika, Dk Tulia Ackson baada ya Mbunge huyo wa Hai kumwuliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa swali lililopingwa na Naibu Spika… Read More
  • KIKONGWE MIAKA 75 AJIUNGA DARASA KWANZA.. Nyamohanga Suguta (75) mkazi wa Kitongoji cha Kibeyo Kijiji cha Getenga Kata ya Mbogi wilayani Tarime, amejiunga na darasa la kwanza mwaka huu katika shule mpya ya msingi ya Makerero baada ya kuamua kusoma. Mwalimu Mkuu… Read More

0 comments:

Post a Comment