Friday 17 April 2015

SIKILIZA NGOMA MPYA YA J.COL-MDOGO MDOGO HAPA!!


J.COLD






Jina lake kamili ni January Everist na katika muziki anafahamika kama J.cold msanii mpya anaekuja kwa kasi katika Game ya muziki wa kizazi kipya hapa nchini,akiwa tayari na record kadha ambazo ameshazitoa.


Akiwa ni mwanafunzi katika chuo kikuu cha Dar es salaa (UD) kwa sasa anatamba na record yake inayokwenda kwa jina la Never let you go,iliyofanyika katika studio za Bantu Music chini ya producer Nelly.

Sasa kwa mara nyingine ametuletea ngoma nyingine mpya inayokwenda kwa jina la Mdogo mdogo ikiwa imefanyika katika studio za Goshin do Music chini ya producer King Xcilla.
J.COLD
Nimekuwekea ngoma hiyo mpya hapa chini unaweza kuisikiliza na kuidownload pia,endeleza harakati za kusaport vipaji vipya.




0 comments:

Post a Comment