WATU MAARUFU WADUKULIWA KATIKA MTANDAO WA INSTAGRAM…..
Instagram
imegundua dosari katika mfumo wake iliofichua nambari za simu za watu maarufu
pamoja na anwani zao kwa wadukuzi wa mitandao.
Mtandao
huo unaomilikiwa na Facebook tayari umewasiliana na watu hao ili kuwaelezea
…Read More
TREANDING:UCHAGUZI WA URAIS KENYA WAFUTWA……
Mahakama ya juu nchini Kenya imebatilisha uchaguzi wa urais nchini
humo baada ya kujiridhisha kuwa ulikuwa na kasoro nyingi zilizokiuka katiba na
utawala wa sheria.
Mahakama hiyo imesema kuwa
imeridhishwa na ushahidi …Read More
WANAFUNZI KUFUNZWA KUHUSU NJIA ZA KUTOA TALAKA INDIA…
Shule moja nchini India itaanza kuwafunza wavulana wa Kiislamu njia za kutoa talaka kulingana na sheriza za Kiislamu.
Shule ya Dargh-E-Ala Hazrat inayodhibiti madrassa 15,000 za Kiislamu ilitangaza hilo kufuatia agizo…Read More
Mhe. Nderiananga akutana na Makamu wa Rais IFAD
-
Naibu Waziri katika Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, na
Uratibu, Mhe. Ummy Nderiananga, amekutana na kufanya mazungumzo na Makamu
wa Rais...
0 comments:
Post a Comment