Thursday 16 April 2015

KWENYE ANTENNA SHOW YA RADIO 5 KILA MONDAY TO FRIDAY INAKUWAGA HIVII..!!!! SAA 04 PM -06:30 PM


Kama wewe hukuwahi kuisikia show hii kali ya jioni juma tatu mpaka ijuu,sikiliza hapa chini kidogo tuu vile inakwendaga karibu uwe miongoni mwa wadu wetu.
Kwa kifupi ni more story za kutosha kutoka kila kona ya dunia,hapo unakutana na Kiwa strong, Ernest Matundiro,Wende Mpembwa na Dj Ibra/Noel & Abra.

show inaruka kuanzia saa kumi kamili jioni mpka saa kumi na mbili na nusu jioni.

Hapa chini nimekuwekea moja ya show ya Antenna iliyofanyika mwezi huu wa April 2015.
KAMATA FREQUENCE YA MKOA WAKO TWENDE SAWAaa
Twende sawa Arusha,manyara,kilimnyaro 105.7 fm,Tanga 98.9 fm,Mbeya 93.8 fm,Dar 91.3 fm, Dodoma 88.6 fm,Morogoro 95.1 fm,Mtwara 94.5 fm,Mwanza 92.5fm,Kigoma 87.7fm.




0 comments:

Post a Comment