Misri mashakani kwa unyanyasaji wa kijinsia...!!!
Maandamano dhidi ya unyanyasaji wa kijinsia
Shirika la kupigania haki za
binaadamu lenye makao yake mjini Paris linasema kuwa vikosi vya usalama
nchini Misri vinatumia unyanyasaji wa kijinsia dhidi ya wale
wanao…Read More
Watinga kuchukua maiti wakivalia nguo za magunia……….
Ilikuwa ni kama kutekeleza maandiko ya Biblia yanayosema “jifungeni nguo za
magunia, ombolezeni na kulia kwa uchungu”, wakati ndugu walipokwenda Hospitali
ya Rufaa ya KCMC kuchukua mwili wa marehemu.
Walikuw…Read More
0 comments:
Post a Comment