Monday, 20 April 2015

Hospitali zaishiwa na madawa Yemen!!!

Hospitali kwenye mji wa bandari wa Yemen, Aden zinaishiwa na bidhaa muhimu za matibabu,
wakati mapigano kati ya vikosi vya seriali vinavyoungwa mkono na Saudi Arabia na waasi wa Shia wa Houthi yanapochacha.
Mwandishi wa bbc ambaye alizuru mji huo aliambiwa kuwa wagonjwa walikuwa wakifa kwa sababu hawangeweza kutibiwa kwa njia inayofaa.
Makundi ya kutoa huduma za matibabu yamelemewa na idadi ya wagonjwa wanaolazwa na yametoa wito kwa madawa zaidi na vifaa vingine vya matibau.
Kiongozi wa waasi amekashifu Saudi Arabia kwa kujaribu kuivamia na kuiteka nchi ya Yemen.

Related Posts:

  • APP YA SIMU YA TALIBAN YATOLEWA SOKONI..... Alemarah programu inayotumiwa katika simu za Android iliyoundwa na kundi la wapiganaji wa Taliban, imeondolewa kwenye soko la programu la Google Play Store. App hiyo iliyozinduliwa tarehe 1 Aprili, miongoni mwa mengine i… Read More
  • NIMEKUWEKEA HAPA SHOW YA ANTENNA YA TAR 4 APRIL 2016. Show inakwenda hewani siku tano za wiki kuanzia saa kumi kamili jioni mpaka saa kumi na mbili na nusu jioni kupitia radio 5,be connected twende sawa wewe ni bnge la msikilizajiI. … Read More
  • ASKARI 500 WA MAREKANI WALIJIUA 2015…!! Takaribani askari 500 wa Jeshi la Marekani walijiua mwaka jana, na hivyo kuendeleza mkondo wa idadi kubwa ya wanajeshi wanaojiua nchini humo katika kipindi cha miaka saba iliyopita. Wizara ya Ulinzi ya Marekani Pentag… Read More
  • TOP 5 YA WEZI WAPUMBAVU DUNIANI… Katika karibu kila jambo duniani, mwanadamu huhitajika kutumia akili ili kufanikiwa. Bila shaka iwapo utatarajia uwazidi watu wengine hasa katika kuwapora au kuwaibia basi utahitajika kuwa na ujanja zaidi. Lakini maene… Read More
  • IRAN, PAKISTAN NA SAUDIA ZINAONGOZA KWA KUNYONGA….. Shirika la haki za kibibaadamu la Amnesty International limesema kuwa, kumekuwa na ongezeko kubwa la idadi ya watu walionyongwa ulimwenguni mwaka uliopita, ikilinganishwa na kipindi chochote tangu mwaka 1989. Takriban w… Read More

0 comments:

Post a Comment