Wednesday 29 April 2015

Kahawa ya Tanzania hatarini kutoweka...

Utafiti uliofanywa na wataalamu wa mambo ya kilimo unaonyesha kuwa,zao la Kahawa nchini Tanzania huenda likatoweka kabisa kutokana na mabadiliko ya tabia ya nchi.


Kutoka Johannesburg mwandishi wa bbc Omar Mutasa anaarifu zaidi,sikilize hapa chini kwa kubonyeza play.

0 comments:

Post a Comment