Monday, 20 April 2015

Kanye West azindua biblia yake!!!

Hujulikana sana kwa maringo yake,lakini kwa kweli Kanye West asingekufuru na kujitambulisha kama mungu katika biblia hiyo.

Kitabu hicho kitukufu kimebadilishwa na kuwa Biblia ya sasa kwa jina ''Yeezus'' na amini usiamini kila neno la Mungu katika kitabu hicho limeondolewa na badala yake msanii huyo wa muziki wa kufoka foka ameweka jina lake.
Kulingana na gazeti la The Independence nchini Uingereza,kitabu hicho kinasema kuwa katika kizazi hiki ,Kanye West ndio mkubwa na vilevile kiongozi wa kidini
Kitabu hicho kinaongezea kwamba ''katika utangulizi wetu tunamsherehekea Kanye West na vile alivyotufanyia katika maisha yetu''
Kanye West
Ijapokuwa Kanye hajatoa tamko lolote kuhusu wadhfa huo aliojipatia,amekuwa akijifananisha na Mungu hapo mbeleni.
''Mungu alinichagua mie alinitengezea njia.Mimi ni chombo cha mungu'',alisema mwaka 2009.
''Lakini kinachoniudhi maishani mwangu ni kwamba sitawahi kujiona nikicheza muziki moja kwa moja''.,aliongezea.
Wasanii wengine waliofananishwa na Yeezy ni Marilyn Monroe na Michael Jackson.

Related Posts:

  • INSPEKTA WA POLISI NA WAZIRI WA ULINZI WAFUKUZWA KAZI… Rais wa Uganda Yoweri Museveni, amemfuta kazi Inspekta mkuu wa polisi Kale Kayihura na waziri wa Ulinzi Henry Tumukunde. Generali Kayihura ambaye ni mkereketwa wa vita vilivyomsaidia rais Museveni kuingia madarakani mwa… Read More
  • TMA YATOA TAHADHARI KWA WANANCHI……. Mamlaka ya hali ya hewa iliyopo chini ya Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano nchini Tanzania imewatahadharisha wananchi kuwepo kwa hali mbaya ya hewa katika maeneo yote ya pwani kuanzia leo usiku. Hayo yamebaini… Read More
  • VIDEO: MOTO WATEKETEZA SOKO LA MBAGALA…. Moto mkubwa umelipuka na kuunguza soko la wafanyabiashara wadogo wadogo (machinga) katika eneo la Mbagala Rangi Tatu–Dar, asubuhi ya leo Machi 6, 2018. Sehemu iliyoathirika zaidi ni ya wauza mitumba huku baadhi ya bi… Read More
  • AOMBA KUPELEKWA KWA MGANGA BADALA YA JELA……. Mwanaume mmoja kwa jina la Wilson Obeka anaekabiliwa na mashtaka ya jinai, aliwashangaza wengi mahakamani huko Eldoret baada ya kumuomba hakimu apelekwe kumuona mchungaji au mganga badala ya kwenda jela. Bwana huyo anak… Read More
  • WATU WAPIGA KURA UCHAGUZI MKUU ITALIA… Watu nchini Italia wanapiga kura baada ya kampeni zilizoangazia zaidi masuala la uhamiaji na uchumi. Waandishi wa habari wanasema kuwa ni vigumu kusema ni nani atashinda katika kura hiyo. Upande wa Five Star Movement, … Read More

0 comments:

Post a Comment