Kuelekea siku ya Malaria duniani tarehe 25 mwezi huu, Tanzania imesema
uwekezaji katika kinga,
tiba na ugunduzi wa mapema wa ugonjwa huo umesaidia
kupunguza maambukizi ya ugonjwa huo ikotolea mfano kwa watoto wadogo.
Naibu Meneja wa mpango wa Taifa wa kudhibiti Malaria nchini Dkt.Renata
Mandike,ameiambia kiwale11 blog katika mahojiano maalum kuwa,usambazaji wa
vyandarua vyenye viuatilifu, dawa mseto na mifumo bora ya utambuzi wa
Malaria imewezesha idadi ya watoto wanaougua Malaria kupungua kwa asilimia 40
mwaka 2012.
Msikie hapa chini kwa kubonyeza play umsikie akifunguka zaidi juu ya utafaiti ulifanyika.
0 comments:
Post a Comment