Hapa nimekuwekea sauti za baadhi ya wabunge wakitoa maoni yao juu ya sakata lililotokea bungeni leo asubuhi,baada ya mbunge wa Ubungo john Mnyika kuitaka
serikali kutoa majibu juu ya zoezi la uandikishwaji wananachi katika daftari la kudumu la wapiga kura.
Kubwa ni kuhusiana na muda ul;iosali je utatosha kufanikisha zoezi hilo na kura ifanikiwe kupigwa,wasikie hapa chini wanafunguka,
RAIS WA BURUNDI AMFARIJI RAIS SAMIA KIZIMKAZI ZANZIBAR
-
Rais wa Jamhuri ya Burundi, Mhe. Evariste Ndayishimiye, akimfariji Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, nyumbani
kwake...
2 weeks ago






0 comments:
Post a Comment