Monday 27 April 2015

Hot stories kwenye Magazeti Leo April 27 2015


Rais Jakaya Kikwete ametoa msamaha kwa wafungwa 4,129 katika maadhimisho ya miaka 51 ya Muungano, Mwalimu mkuu huko Lindi amekuta jeneza limewekwa mlango wake,
watu wanaozaniwa kuwa majambazi wamefukua kaburi huko Kibaha na kuiba vitu alivyozikwa navyo marehemu, SUMATRA na Jeshi la Polisi kuanza ukaguzi wa mikataba ya madereva wa mabasi na malori, wizara ya mambo ya ndani inatarajia kufuta taasisi 24 kwa kushindwa kuwasilisha taarifa za ukaguzi.
Mbunge wa Ubungo John Mnyika ambae amemtaka Spika wa Bunge kuitisha kwa dharura kamati ya kudumu ya katiba, sheria na utawala, Watanzania 26 wamerejea nchini kutoka Afrika Kusini, waliokuwa wakimbizi zaidi ya 152 ,572 walioingia nchini mwaka 1972 wamekabidhiwa vyeti vya uraia wa Tanzania na ghasia zimeibuka nchini Burundi kati ya maafisa wa Polisi na waandamanaji.



0 comments:

Post a Comment