Thursday, 23 April 2015

Klabu bigwa ulaya ,Europa kupangwa kesho...

Droo ya kupanga ratiba ya nusu fainali ya klabu bigwa na ile ya Europa ligi itafanyika kesho mchana katika mji wa Nyon huko Uswisi.

Robo fainali ya klabu bigwa ulaya ilimalizika jana kwa timu nne kutinga nusu fainali ,mabingwa Watetezi Real Madrid na FC Barcelona Juventus ya Italy na na Mabingwa wa Ujeruman Bayern Munich.
Droo hii ni huru ikimaanisha Timu yeyote inaweza kupangwa na yeyote na hivyo upo uwezekano wa hata timu za nchi moja kwa maana ya Barcelona na Real Madrid wakakutana katika nusu fainali.
Usiku huu Europa ligi watakamilisha Mechi zao za Marudiano za Robo fainali na timu nne washindi zitaingizwa kwenye droo ya kupanga Mechi za Nusu Fainali ambayo pia ni huru bila kujali Utaifa

Related Posts:

  • MBEGU ZA KIUME ZENYE UKIMWI KUSAFISHWA NCHINI..! Wanaume wanaoishi na virusi vya Ukimwi sasa huenda wakapata suluhisho, la kupata watoto na wenza wao ambao hawana virusi hivyo, baada ya kuwapo tiba ya kusafisha mbegu za kiume zenye VVU hapa nchini. Tiba hiyo sasa inap… Read More
  • HILLARY CLINTON AWEKA HISTORIA MAREKANI…! Vyombo vya habari vya Marekani vilibashiri Clinton atakuwa na wajumbe wa kutosha kuwa chaguo la Democratic, katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Novemba. Pia vyombo hivyo vya habari vya Marekani vilisema… Read More
  • HII NDIYO MIKOA INAYOONGOZA KWA UTAPIA MLO NCHINI..!! Pamoja na maendeleo yaliyotokana na kukua kwa pato la wastani la Mtanzania na kupungua kwa umasikini wa mahitaji ya msingi, serikali imeainisha mikoa mitano iliyokithiri kwa umasikini wa kipato. Akiwasilisha bungeni T… Read More
  • KESHI AFARIKI DUNIA…. Nahodha na kocha wa zamani wa timu ya taifa ya Nigeria Stephen Keshi (54) amefariki dunia mapema leo jijini Benin katika jimbo la Edo State. Msiba huu umekuja ikiwa ni mwaka mmoja umepita tangu mwanasoka huyo ampoteze m… Read More
  • MABISHOO KUPUNGUA MITAANI…!! Bajeti ya Serikali iliyotangazwa huenda ikapunguza idadi ya watu wanaopenda kuonekana tofauti, kwenye usajili wa magari kwa kuandika majina yao badala ya namba. Wamiliki wa magari wanaotaka kusajili namba binafsi kama k… Read More

0 comments:

Post a Comment