Wednesday 15 April 2015

Kamanda Mpinga atoa Ripoti ya ajali za barabarani kwa mwezi January hadi April 2015..


                                                   Kamanda Mohammed Mpinga
Swala la ajali za barabarani imechukua nafasi kubwa sana kwenye habari za kwenye vyombo mbali mbali vya habari hapa nchini kwa siku za hivi karibuni.

Kwanza ni suala la ajali hizo kuongozana sana,yaani zinatokea kwa kipindi kifupi sana na pili ni swala la idadi ya vifo ambavyo vimetokana na ajali hizo.
Jana Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani Kamanda Mohammed Mpinga,ametoa  rioti inyoonysha idadi ya ajali zilizotokea katika kipndi hicho na idadi ya watu waliokatishwa uhai wao kutokana na ajili hizo.
Msikie hapa chini Kamanda Mpinga akitoa taarifa hiyo.



0 comments:

Post a Comment