Wednesday 15 April 2015

Je wafahamu athari za kujifungua kwa njia ya upasuaji?

Kujifungua kwa upasuaji au operesheni kumekuwa mtindo,huku idadi ya operesheni ikiongezeka katika nchi zote duniani, na kuwatia wasiwasi watalaam wa Shirika la Afya Duniani WHO.

Kwa mujibu wa WHO upasuaji unapaswa kufanyika iwapo tu mjamzito au mtoto aliye tumboni ana tatizo la kiafya, vinginevyo upasuaji unaweza kuwa na athari pindi unapofanyika na hata baadaye.
Je ni vigezo gani vinapaswa kuzingatiwa na athari ni zipi? basi msikiea Daktari James Kiarie kutoka Kenya ambaye ni mratibu wa timu ya afya ya uzazi ya WHO.
Hapa chini Dokta Kiarie anaanza kwa kulezea kwanini WHO imekuwa na wasiwasi juu ya mwelekeo huo.
Insert 2-James
Unaweza ukawa unajiuliza ni kwa nini utamaduni wa kuzalisha wanawake kwa njia ya upasuaji inaongezeka,pengine unaweza fikiri hii inafaida kwa madaktari au ni nini,bado Dr.James yupo hapa naeleza.
Insert 3-James


0 comments:

Post a Comment