Wednesday, 29 April 2015

Pacquiao atamba kumchakaza Mayweather..!!

Mpambano kati ya Mayweather na pacquiao unasubiriwa kwa hamu duniani kote
Zikiwa zimesalia siku chache kabla ya dunia kushuhudia mpambano wa karne wa mabondia Floyd Mayweather na Manny Pacquiao,Bondia wa Ufilipino Manny Pacquiao
ametamba kumchakaza mpinzani wake kwenye mpambano utakaofanyika Mei 2 mwaka huu katika ukumbi wa Mgm Grand Vegas
Akiwa amezungukwa na mamia ya washabiki wake Pacquiao aliwaeleza "msiwe na wasiwasi mimi ndie ninae pigana na nina uhakika asilimia mia moja wa kushinda".
"Naamini huu ndio muda wa Mayweather kupoteza mchezo kwa mara ya kwanza’’
Floyd Mayweather hajawahi poteza mchezo katika mapambano 47 aliyokwisha cheza,Huku Pacquiao akiwa kapoteza mapambano 5 na kutoka sare mara 2 katika mapambano 64 aliyocheza.

Related Posts:

  • JELA MIAKA 30 KWA KUFANYA NGONO NA BINTI YAKE..! Mkazi wa Njiapanda ya Himo mkoani Kilimanjaro Daniel Mshana (41), amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela baada ya kupatikana na kosa la kufanya ngono na binti yake wa kumzaa. Suala hilo liligunduliwa na walimu katika s… Read More
  • ITALIA YAHALALISHA NDOA ZA JINSIA MOJA..!! Italia imekuwa mojawapo ya mataifa ya mwisho ya Magharibi, kuhalalisha ndoa za jinsia moja. Bunge la Italia limepitisha kwa wingi wa kura mswada wa kuitambua kisheria ndoa ya jinsia moja, baada ya mswada huo tayari ulip… Read More
  • RAIS WA BRAZIL DILMA ROUSSEFF ASIMAMISHWA KAZI…!! Bunge la Seneti Brazil limepiga kura kuamua kuidhinisha kura ya kutokuwa na imani dhidi ya kiongozi wa taifa hilo Dilma Rousseff. Atasimamishwa kazi ya urais kwa siku zisizozidi 180 wakati bunge hilo la Seneti litakag… Read More
  • MTOTO MZITO ZAIDI AZALIWA INDIA…!!! Mwanamke mmoja nchini India amejifungua mtoto wa uzani wa kilo 6.8, ambaye madaktari wanasema huenda akawa mtoto mwenye uzani wa juu zaidi kuwahi kuzaliwa nchini humo. Mtoto huyo ana uzani sawa na mtoto wa umri wa mi… Read More
  • WALIOTAPELI SH 62 BILIONI UINGEREZA WASAKWA DAR… Shirika la Kimataifa la Polisi linawasaka raia wawili wa Scotland, wanaodaiwa kukimbilia Tanzania baada ya kufanya udanganyifu na kujipatia Paundi 20 milioni za Uingereza (sawa na Sh62 bilioni). Wawili hao Gareth J… Read More

0 comments:

Post a Comment