Tuesday 28 April 2015

Mayweather na Pacquiao wakosolewa!!!

Licha ya donge nono la dola 250 milioni litakalopiganiwa na Floyd Mayweather na Manny Pacquiao
wikendi hii huko Las Vegas, Marekani, mabondia mashuhuri wa zamani wa Kenya, Steve Muchoki na Muhammad Abdallah Kent, wanasema kiwango cha mabondia hao wawili kiko chini na hawawezi kulinganishwa na miamba ya miaka ya sabini na themanini, miongoni mwao Muhammad Ali, Joe Frazier, Sugar Ray Leonard, Roberto Duran na Marvin Hagler.



0 comments:

Post a Comment