Tuesday 14 April 2015

Hawa ndio Marais 5 warefu zaidi duniani..!!!!!

Kila siku iishayo kunakuwa na habari mpya kuhusiana na maisha, tumeona tafiti nyingi zikifanywa zikiwemo za magari, majumba, watu maarufu na mambo mengiine ili mradi tu habari zipatikane.

Na huu hapa ni utafiti ulifanyika na unaozungumzia urefu wa Marais duniani,ripoti ya utafiti huu ilitolewa January 4 2015 ambao unazungumzia  marais 10 ambao ni warefu zaidi duniani,hapa nimekuwekea top 5.


                                                        1. Filip Vujanovic
Papa Benedict xvi akiwa na Rais wa Montenegro ambaye ndiye rais mrefu kuliko wote duniani, ana urefu wa futi 6.5

                                                           2. Nicolas Maduro

 Huyu ni Rais wa Venezuela, anashika nafasi ya pili kwa kuwa rais mrefu, ana urefu wa futi 6.3
                                                                3. Bashar Al- Assad
 Huyu ndiye Rais wa tatu kwa urefu duniani kutoka Syria, ana urefu wa futi 6.2
                                                            4. Stephen Harper
Huyu ni Waziri mkuu wa Canada, ana urefu wa futi 6.2
                                                     5. Toomas Hendrik Ilves
Huyu ni rais wa Estonia ambaye pia aliwahi kuwa mwandishi wa habari, ana urefu wa futi 6.2





0 comments:

Post a Comment