Utawala nchini Burundi umekata mawasiliano ya mitandao ya kijamii kupitia kwa simu za mkononi, mawasiliano ambayo wamekuwa wakitumia kupanga maandamano ya kumpinga rais Pierre Nkurunziza. Mamia ya waandamanaji wako barabarani kwenye mji mkuu wa Buruni,Bujumbura kwa siku ya nne ya ghasia kutokana na uamuzi wa rais kwa kuwania muhula wa tatu.
MAKUNDI MAALUM KUSHIRIKI MIRADI YA MAFUTA NA GESI ASILIA
-
Na Mwandishi Wetu, Lindi
WATU wenye mahitaji maalum mkoani Lindi wametakiwa kuchangamkia fursa za
kiuchumi zinazotokana na utekelezaji wa miradi ya kimka...
17 hours ago







0 comments:
Post a Comment