This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 2 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 3 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 4 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 5 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

Showing posts with label Muziki. Show all posts
Showing posts with label Muziki. Show all posts

Thursday, 22 March 2018

SERIKALI YAMWONYA DIAMOND……

 

Wizara ya Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo nchini Tanzania imemshutumu nwanamuziki maarufu Diamond Platnumz kwa kauli aliyoitoa kuhusu kufungiwa kwa nyimbo zake mbili.

Monday, 4 September 2017

VIDEO: KICHAKA-SAIDA KAROLI FT BELLE 9 & G NAKO..

Leo Septemba 4, 2017 Msanii wa nyimbo za asili nchini Tanzania, Saida Karoli aliyevuma kitambo, na kurudi tena kwa nguvu ya ajabu, ameachia video ya wimbo wake mpya wa ‘Kichaka’ ambapo katika wimbo huo amewashirikisha Belle 9 pamoja na G Nako.

Saturday, 19 August 2017

NEW VIDEO:ROMA & STAMINA-HIVI AMA VILE

Roma na Stamina kupitia umoja wao ‘Rostam’ ameachia video ya ngoma yao mpya ‘Hivi Ama Vile’, video imeongozwa na Nicklass, audio ni Mr. T Touch.

Friday, 11 August 2017

VIDEO MPYA:ROMA ASIMULIA ALIVYOTEKWA….

Rapa Roma Mkatoliki ameachia video ya wimbo wake ‘Zimbabwe’ ukiwa ni wimbo wake wa kwanza tangu alipotekwa na kuteswa kwa siku tatu.

Monday, 24 July 2017

VIDEO: JOH MAKINI FT DAVIDO-KATA LETA

Rapa kutoka kundi la Weusi, Joh Makini amekuja na video yake mpya iitwayo Kata Leta ambayo amemshirikisha Staa kutoka Nigeria, Davido.
Tazama video yenyewe hapa chini.

Friday, 7 July 2017

NEW GASPAL HIT FROM ANGEL BENARD-SITEKETEI (VIDEO)

SITEKETEI "Ni wimbo wa MAFUNZO ya ahadi za Mungu katika maisha yetu, na uhakika wa usalama wetu ndani Yake, licha ya changamoto za kila siku.
Isaya 43: 2
Unapitia kati ya maji, nitakuwa pamoja nawe,
Na unapovuka mito,
Hawatakufikia,
Unapotembea kupitia moto,
Huwezi kuteketezwa,
Moto hauwezi kukuweka.
Je,unaweza kuimarishwa na kukumbuka juu ya jinsi MUNGU atakavyoweza kuifanya ikiwa unashikilia.
TIZAMA VIDEO YA SITEKETEI HAPA CHINI.

OMMY DIMPOZ-CHECHE (OFFICIAL AUDIO)

Kutoka PKP Kijana Ommy Dimpoz ametulea jiwe jipya linakwenda kwa jina la CHCHE,unaweza kulisikiliza kwa kubonyeza play a au kudownload hapa chini.

Friday, 5 May 2017

HILI HAPA GOMA JINGINE LA DARASSA CMG

Hit maker wa nyimbo iliyokua anthem ‘Muziki’ Darassa aka ‘CMG’, ameachia  wimbo mpya uitwao Hasara Roho.Unaweza kuusikiliza kwa kubonyeza play hapo chini.

Monday, 10 April 2017

MWANAMUZIKI AJITOSA BAHARINI KUKWEPA KULIPA BILI YA CHAKULA.


Mwanamume mmoja raia wa Australia ambaye alikuwa na bili kubwa ya kulipa baada ya kupata mlo kwenye mkahawa mmoja aliruka na kuingia baharini ili kukwepa kulipa bili hiyo.

Saturday, 1 April 2017

NEW VIDEO: BIBI CHEKA-NALIA

Msanii Bibi Cheka baada ya kuwa kimya kwa muda mrefu huu ndio ujuo wake tena ameachia hii video mpya wimbo unaitwa “Nalia”, video imeongozwa na Josh.tizama video hapo chini.

Sunday, 12 March 2017

VIDEOMPYA: MAUA SAMA ANATUALIKA KUITAZAMA HII MPYA INAITWA ‘MAIN CHICK’.

Kiwanda cha Bongofleva kinazidi kutupa madini mapya kila siku,Leo March 11 2017 ni zamu ya Maua Sama ambaye ametuletea video yake mpya inaitwa ‘Main Chick’.Unaweza kuitazama hapa chini 

Saturday, 11 March 2017

VIDEO MPYA: HAMORAPA FT NATURE -KIBOKO YA MABISHOO

Kutoka kwenye kiwanda cha mziki wa Bongofleva  leo March 11 2016 Hamorapa ametuletea video ya mdundo wake mpya ‘Kiboko ya mabisho‘ ambao amemshirikisha mkali wa longtime kwenye game ya Bongofleva Juma Nature, kama utakuwa unazipenda video kutoka Bongoflevani unaweza kuicheki hapo chini.

VIDEOMPYA: CHEGE NA TEMBA WAMETULETEA HII MPYA INAITWA “GO DOWN”

Baada ya kukaa kimya muda mrefu bila kuachia ngoma ya pamoja, Chege Chigunda na Temba wametuletea hii single mpya waliyomshirikisha mwanadada Emmy inaitwa “Go Down”,

Monday, 6 March 2017

VIDEO: HARMORAPA AKUTANA NA PRO J NA KUMCHANIA MISTARI..


Rapper Harmorapa amekutana uso kwa uso na msanii mkongwe wa muziki wa hip hip ambaye pia ni mbunge wa Mikumi Joseph Haule aka Professor Jay na kumuonyesha mkongwe huyo kile anachokifanya kwenye muziki wa hip hop.

Sunday, 5 March 2017

BARAKAH DA PRINCE NA NAJ KUNANI….?

Barakah Da Prince alikaakitakona Mtangazaji wa ABM Radio ya Dodoma, DJ Rodger kuzungumzia status ya uhusiano wake na Naj.
Kwenye interview hiyo Barakah amedai kuwa bado mapenzi yao yapo moto moto ila wameamua kutopenda sana kupostiana kwenye mitandao ya kijamii kama zamani.
Ameongeza kuwa ukurasa wake wa Instagram sasa utaendelea kujikita katika kazi zake zaidi na sio mambo ya uhusiano. Msikilize zaidi hapo chini.

VIDEO: TIMBULO – MFUASI

Timbulo ameachia video ya wimbo wake Mfuasi. Wimbo umetayarishwa kwa ushirikiano wa Maximizer & Mr. T-Touch huku video ikiongozwa na Dr. Eddie wa Dreamland Music Entertainment ya Nairobi.

VIDEO: HERI MUZIKI-SWEET LOVE

Heri Muziki ameachia video ya wimbo wake mpya uitwao ‘Sweet Love’. Video imeongozwa na Nick Dizzo.

Friday, 3 March 2017

VIDEO: STAN BAKORA AKIMUIGIZA RC MAKONDA

Mchekeshaji Stan Bakora akimuigiza Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ametaja orodha ya wasanii 10 wa muziki ya uigizaji ambao wamekuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi kwa muda mrefu bila kuoa mabao yeye amewaita wahalifu.
Stan Bakora amewataka wasanii hao akutane nao ‘sentro’ kwa kile alichosema kuwa wanakosea kufanya hivyo,tizama video hapo chini.

Thursday, 2 March 2017

NEW JOINT: HARMORAPA FT NATURE-KIBOKO YA MABISHOO

Msanii mkongwe katika muziki wa bongo fleva, Juma Nature amembariki rapa anayechipukia Harmorapa na kuweza kufanya naye kazi chini ya producer T Touchez, iliyopewa jina la 'Kiboko ya Mabishoo'
Katika kazi hiyo ambayo tayari imeanza kusambaa kwenye mitandao ya kijamii, Harmorapa amewachana baadhi ya mastaa akiwemo dansa  Mose Iyobo, na watu wengine ambao wamekuwa wakim-'diss' kuwa hajui muziki na kusema yeye hajali maneno yao machafu kwani yeye amekuja kutafuta pesa.
Mbali na Mose Iyobo Harmorapa amechana Jacquline Wolper, Aunty Ezekiel na watu wa WCB
Kwa upande wa Harmorapa jana alisema kuwa kwa sasa wanafanya video ya kazi hiyo na kusema wanategemea video ya ngoma hiyo kutoka siku za karibuni,isikilize hap chini.

Thursday, 23 February 2017

VIDEO: KUNA COLABLE YA ALLY KIBA NA YVONNE CHAKA CHAKA INAKUJA...

Tizama  simulizi hapo chini kuhusu collabo hiyo ya Yvonne Chakachaka na Alikiba.