Friday 3 March 2017

VIDEO: STAN BAKORA AKIMUIGIZA RC MAKONDA

Mchekeshaji Stan Bakora akimuigiza Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ametaja orodha ya wasanii 10 wa muziki ya uigizaji ambao wamekuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi kwa muda mrefu bila kuoa mabao yeye amewaita wahalifu.
Stan Bakora amewataka wasanii hao akutane nao ‘sentro’ kwa kile alichosema kuwa wanakosea kufanya hivyo,tizama video hapo chini.

0 comments:

Post a Comment