Sunday, 5 March 2017

BARAKAH DA PRINCE NA NAJ KUNANI….?

Barakah Da Prince alikaakitakona Mtangazaji wa ABM Radio ya Dodoma, DJ Rodger kuzungumzia status ya uhusiano wake na Naj.
Kwenye interview hiyo Barakah amedai kuwa bado mapenzi yao yapo moto moto ila wameamua kutopenda sana kupostiana kwenye mitandao ya kijamii kama zamani.
Ameongeza kuwa ukurasa wake wa Instagram sasa utaendelea kujikita katika kazi zake zaidi na sio mambo ya uhusiano. Msikilize zaidi hapo chini.

Reactions:

0 comments:

Post a Comment