Zaidi ya asilimia tato ya watu wote duniani wanaishi na tatizo la
kupoteza uwezo wa masikio kusikia, lakini kuzuia tatizo hilo ni rahisi kuliko
kuitibu.
Hayo ni kwa mujibu wa shirika la afya ulimwenguni WHO katika
ujumbe wake kuhusu siku siku ya kimataifa ya uwezo wa masikio kuiskia duniani .
Kauli mbiu mwaka huu ikiwa ni kuchukua hatua na kuwekeza katika kutatua tatizo
la uwezo wa sikio kusikia.
Dr Shelly Chadha, mtaalamu wa upotevu wa uwezo wa sikio kusikia
kutoka Who anasema zaidi ya vijana na barubaru bilioni moja wako katika hatari
ya kupoteza uwezo wa sikio kusikia kutokana na kusikiliza muziki kwa sauti ya
juu lakini
0 comments:
Post a Comment