This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 2 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 3 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 4 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 5 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

Thursday, 31 December 2015

Gereza kuvunjwa ili madini yachimbwe….!


Gereza la Songwe mkoani Mbeya linatarajiwa kuvunjwa na kujengwa sehemu nyingine kupisha uchimbaji wa madini adimu duniani ya niobium.

NASA: El Nino hii ni mbaya kama ya 1998..

Hali ya hewa ya El Nino ambayo imekuwa ndiyo kali zaidi katika historia itazidisha hatari ya njaa na maradhi kwa mamilioni ya watu duniani 2016, mashirika ya misaada yamesema.

Tuesday, 29 December 2015

Mbwa aliyeuawa kupewa nishani ya ushujaa...!!

Mbwa wa polisi aliyeuawa wakati wa msako baada ya mashambulio ya Paris, atatunukiwa nishani kuu ya ushujaa.

Monday, 28 December 2015

Mlinzi wa Osama bin Laden afariki dunia…

Taarifa kutoka Yemen zinasema aliyekuwa mlinzi wa Osama Bin Laden, amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Wednesday, 16 December 2015


Usikose kusoma nakala ya gazeti la TABIBU kesho alhamisi.
                                                                TABIBU michezo wiki hii.!!

Friday, 11 December 2015

Mwanajeshi ashambuliwa na duma akipiga picha…

Jeshi la wanahewa la Afrika Kusini limesema kuwa,duma wawili ambao hufugwa kwenye kambi ya jeshi hilo ili kufukuza wanyama wengine kwenye njia ambayo hutumiwa na ndege kupaa, wamemshambulia afisa wa jeshi.

Hili ndilo Baraza la Mawaziri la Rais Magufuli

Kabala ya kutaja majina ya mawazairi waliopo katika baraza lake, Rais Magufuli ameagiza fedha zilizotengwa kwa ajili ya semina elekezi kwa mawaziri hao, zielekezwe kwajili ya matumizi mengine.

Thursday, 10 December 2015

Usikose kusoma nakala yako ya gazeti la TABIBU leo alhamisi kwa bei ya sh.500/= tu

                                                        TABIBU michezo wiki hii.!!

Wednesday, 9 December 2015

Malaysia yatafuta mmiliki wa ndege zilizoachwa uwanjani…

Serikali ya Malaysia imeweka tangazo magazetini,ikitafuta mmiliki wa ndege tatu aina ya Boeing 747 ambazo zimeachwa katika uwanja wa ndege Kuala Lumpur.

Monday, 7 December 2015

Je kuna nini kilomita 5 chini ya bahari…?

Wanasayansi wa Uingereza wanapanga kuchimba chini kabisa ya ardhi katika bahari Hindi.

Saturday, 5 December 2015

Gazeti latangaza kifo cha Father Christmas…


Gazeti moja nchini Norway limelazimika kuomba radhi baada ya kuchapisha tangazo la kicho cha Father Christmas.

Friday, 4 December 2015

Aliyewaambukiza watu 200 HIV afungwa miaka 25...!

Daktari aliyewaambukiza wagonjwa 200 virusi vya ukimwi nchini Cambodia amehukumiwa jela.

Thursday, 3 December 2015

Kituo cha Radio chachomwa moto Zanzibar…!!!


Watu wasiojulikana waliokuwa wameziziba nyuso zao, usiku wa kuamkia leo wamekichoma kituo cha radio cha Hits Fm kilichopo migombani visiwani Zanzibar.

Wednesday, 2 December 2015

Unawajua wanaongoza kwa ufisadi zaidi Afrika……?

Wafanyibiashara wakubwa Africa, wametakwa kuwa miongoni mwa watu wafisadi zaidi sawa na maafisa wa polisi Barani Afrika.

Kitabu cha Adolf Hitler kuchapishwa tena…

Kitabu maarufu cha Adolf Hitler kwa jina Mein Kampf kitachapishwa tena kikiwa na maelezo zaidi ya wasomi mwezi ujao, ikiwa ni mara ya kwanza kitabu hicho kuchapishwa tangu kumalizika kwa Vita Vikuu vya Pili vya Dunia.