Friday 11 December 2015

Hili ndilo Baraza la Mawaziri la Rais Magufuli

Kabala ya kutaja majina ya mawazairi waliopo katika baraza lake, Rais Magufuli ameagiza fedha zilizotengwa kwa ajili ya semina elekezi kwa mawaziri hao, zielekezwe kwajili ya matumizi mengine.

 

Baraza hilo jipya la Rais magufuli limetawaliwa na sura ngeni nyingi huku mawaziri wa zamani waliofanikiwa kurejea wakiwa saba tu.



Msikie Rais Dr John Pombe Magufuli alipokuwa akilitaja baraza hilo,Bonyeza Play hapa chini kumsikiliza.

0 comments:

Post a Comment