SAMSUNG WAZINDUA TOLEO JIPYA LA GALAXY…
Kampuni ya simu za
mkononi ya Sumsung, imezindua simu yake mpya ya Galaxy Note 8, ambayo ni ya
kisasa zaidi na yenye ushindaji zaidi katika soko.
Hatua hii inakuja baada ya kampuni hii kupata msukosuko
wa kibiashara i…Read More
INDIA YAPIGA MARUFUKU TALAKA YA KUTAMKA TU…
Mahakama
ya juu nchini India imeamua kuwa talaka ya mara moja katika dini ya kiislamu ni
kinyume na katiba, uamuzi ambao umekuwa ni ushindi mkubwa kwa haki wanawake.
India ni moja ya nchi chache ambapo
mwanamume muisl…Read More
RAIS AIDHINISHA HIFADHI KUBWA ITUMIWE KWA UCHIMBAJI MADINI…
Serikali ya Brazil imefutilia mbali hifadhi kubwa ya taifa katika eneo la
Amazon ili kutoa fursa ya uchumbaji wa madini katika eneo hilo.
Hifadhi hiyo, yenye
ukubwa wa kilomita 46,000 mraba (maili mraba 17,800) hupatika…Read More
MWANAFUNZI AFARIKI KATIKA AJALI YA TRENI NA DALADALA MOROGORO…
Mtu mmoja amefariki na wawili wamejeruhiwa baada ya gari ya
abiria kugonga treni eneo la Tanesco Morogoro.
Akidhibitisha tukio hilo Mganga Mkuu wa hospitali Frank
Jacob amesema kwamba, ajali hiyo imetokea leo asubuhi…Read More
0 comments:
Post a Comment