Thursday 3 December 2015

Kituo cha Radio chachomwa moto Zanzibar…!!!


Watu wasiojulikana waliokuwa wameziziba nyuso zao, usiku wa kuamkia leo wamekichoma kituo cha radio cha Hits Fm kilichopo migombani visiwani Zanzibar.

Kamanda wa polisi mjini magharibi Mkadam Khamis Msige, amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema uchunguzi wa bado uanaendelea.


Hili ni tukio la kwanza kutokeo visaiwani Zanzibar tangu kufutwe kwa matokeo ya uchaguzi mkuu uliofanyika tarehe 25 oktoba mwaka huu 2015.

Akizungumzaia kadhia hiyo meneja wa Hits Fm bwana Hafidhi Kasimu, amesema kundi la vijana zaidi ya 15 walivamia radio hiyo majina ya saa saba usiku na kufanya uharibifu mkubwa.

Kiwale11blog imepiga story na Meneja wa Kituo hicho bwana Hafidhi Kasimu,ambaye ameeleza juu ya tukio hilo,bonyeza play hapa chini usikie hahojiano hayo.

0 comments:

Post a Comment