Kila kukicha kumekuwa na mambo mapya katika jamii inayotuzunguka na kutokana na utandawazi umetufanya tuone na kujua kila kinachoendelea katika ulimwenguni huu wa sayansi na teknolojia. Kwa sasa kumekuwa na mitindo mbalimbali ya fashion kama kwenye nguo, makeup, viatu na kubwa zaidi kuhusu hii style mpya hapa mjini ya kila mtu kuweka dread kwa namna yake, sasa mama moja wa makamo na raia wa Ghana alitoa mpya baada ya nywele zake kuzivisha kondomu kwa kuzifunga kama dreadlock. Unaionaje hiyo Styl????
WAZIRI AWESO ATANGAZA KUMALIZIKA KWA CHANGAMOTO YA MAJI DAR
-
Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso, ameziagiza Mamlaka ya Maji Safi na Usafi
wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kuwasha mitambo yote ili kuondoa mgao
...
38 minutes ago







0 comments:
Post a Comment