Saturday, 14 March 2015

Papa Francis atoa ishara za kujiuzulu.!!!!!

Kiongozi wa kanisa katoliki duniani Papa Francis amedokeza kwamba huenda akafuata nyayo za mtangulizi wake Papa Benedict kwa kujiuzulu.
Akihojiwa na runinga moja ya nchini Mexico katika sherehe za maadhamisho yake ya pili tangu achaguliwe,Papa Francis amesema kuwa anahisi kwamba uongozi wake katika kanisa hilo hautaendelea kwa kipindi kirefu.
Amesema kuwa hatua ya Benedict kujiuzulu mwaka 2013 ni ya ujasiri na haifai kuchukuliwa kama ya kipekee.
Papa Benedict ndiye kiongozi wa kwanza wa kanisa hilo kujiuzulu tangu papa Gregory wa 12 mwaka 1415.
Papa Francis anasema kuwa anatamani maisha yake ya kuwa muhubiri na angependelea kuzuru maeneo kadhaa bila kujulikana.

Related Posts:

  • Mtoto auwawa baada ya kubakwa Dar………… Mtoto anayekadiriwa kuwa na umri kati ya miaka mitano hadi sita, ameuwa kikatili jijini Dar es salaam baada ya kubakwa na kisha kunyongwa shingo huku akidaiwa kunyofolewa sehemu za siri. Mwili wa mototo huyo unadaiwa kut… Read More
  • Akamatwa uwanja wa ndege Dar na kobe 173… Jeshi la Polisi Uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius Nyerere,linamshikilia raia wa Kuwait Hussein Mansoor, kwa kukutwa na kobe hai 173 aliokuwa akiwasafirisha kueleka nchini kwake. Kaimu Mkurugenzi wa Uwanja wa JNIA Cleme… Read More
  • Facebook kukutambua bila picha ya uso...!!! Tayari mtandao huo wa kijamii wa Facebook unakusanya taarifa kutoka katika picha zako ili kubaini migao ya maoni kutoka kwa marafiki wako pale wanapoweka mtandaoni picha. Sasa inaonekana mitandao ya kijamii inachukua mko… Read More
  • Kondomu inayotambua maambukizi ya Zinaa...!! Wanafunzi katika shule moja nchini Uingereza, wameunda mipira ya kondomu inayowaonya watumiaji wanapojamiana na mtu aliyeambukizwa maradhi ya zinaa. Kondomu hiyo inabadili rangi pindi inapokutana na majimaji ya mtu ana… Read More
  • Uyoga unazuia mtu kunenepa :Utafiti…… Uyoga unatumika nchini Uchina kama dawa ya kupunguza unene. Kwa miaka na mikaka uyoga umekuwa ukitumika nchini humo kama dawa ya kupunguza unene katika wanyama, hayo yamesemwa na watafiti nchini Taiwan. Utafiti huo ul… Read More

0 comments:

Post a Comment