Thursday 26 March 2015

Hizi ni sababu za Afande Sele kumfuata Zitto ACT..!!!

Ujio wa Zitto ndani ya ACT ni kama umefungua njia kwa watu wengine
kujiunga na chama hicho.
Jana wanachama wengine 13 walijiunga akiwamo mwanamuziki wa kizazi kipya, Selemani Msindi maarufu kama Afande Sele.
Msikie hapa chini akifunguka sababu za kuachana na chama cha demokrasia na maendeleo chadema na kujiunga ACT. 




0 comments:

Post a Comment