MAHAKAMA YAMHUKUMU LULU MIAKA 2 GEREZANI...
Mahakama Kuu ya Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania imemhukumu kwenda jela miaka miwili muigizaji wa filamu
bongo Elizabeth Michael (Lulu) ambaye alikuwa anakabiliwa na kesi ya kuua bila
kukusudia.
Hukumu
hiyo …Read More
GAMBO ATOA AGIZO KWA MKURUGENZI……
Mkuu wa
mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo ameagiza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Monduli
kuhakikisha anasimamia ujenzi wa Ofisi za Kata na unakamilika kabla ya mwezi wa
kumi na mbili mwaka huu.
Agizo hilo
amelitoa kwenye ziar…Read More
ADAKWA NA POLISI KWA KUBAKA WATOTO 14…
Jeshi la Polisi mkoani Singida linamshikilia mganga wa kienyeji
mkazi wa mtaa wa Minga Daud Idd (74), kwa tuhuma ya kunajisi watoto 14 wenye
umri kati ya miaka saba na 12 na kuwasababishia maumivu makali katika sehemu
…Read More
MWALIMU AJICHINJA KOROMEO HADI KUFA…
Mwalimu wa Shule ya Sekondari ya Mtenga wilayani
Nkasi, Leonard Mwipugi (29) amejiua kwa kujichinja koromeo akiwa nyumbani
kwake.
Taarifa zilizotolewa na Mratibu wa Elimu Kata ya
Mtenga, Hebron Mwafungo zimeeleza kuwa m…Read More
RIBA YA BENKI KUU KUENDELEA KUWA ASILIMIA 6
-
NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV
KAMATI ya Sera ya Fedha ya Benki Kuu ya Tanzania imeamua Riba ya Benki Kuu
(CBR) kuendelea kuwa asilimia 6 mara baada kufan...
0 comments:
Post a Comment