Thamani ya shilingi ya Tanzania imeelezwa
kuanguka kwa kiasi cha asilimia 7.9, hali ambayo imeelezwa kuchangiwa na
sababu za kiuchumi za ndani na nje ya nchi.
Dr Joseph massawe mkurugenzi wa utafiti wa uchumi na sera katika bank ya tanzania kuhusiana na sababu za kuporomoka kwa thamani ya shilingi,msike hapa chini.
NBC Yatoa Mikopo ya Makazi kwa Wakulima 57
-
- Yaendelea kukabidhi Malori kwa Vyama vya Ushirika
Kufuatia hatua ya Serikali kukabidhi Shilingi bilioni 300 kwa taasisi saba
za kifedha, ikiwemo Benki...
0 comments:
Post a Comment