Friday, 20 March 2015

WhatsApp yasababisha mke kupewa talaka!!!

Mwanamume mmoja nchini Saudia amempa talaka mkewe kutokana na ujumbe wake katika mtandao wa WhatsApp.

Kulingana na gazeti moja la kiharibu Al Hayat, mwanamume huyo amedai kwamba mkewe aliandika ujumbe unaosema ''naomba kuwa na subra ya kutosha ili kuweza kuishi na wewe''.
''Nilimpigia mmoja ya ndugu zangu kumuuliza iwapo ujumbe ule ulikuwa unanilenga mimi'', alisema mwanamume huyo.
Watu wa Familia yangu walithibitisha hilo na nilisikia aibu kubwa kwamba mabibi za marafiki zangu pamoja na watu wa familia yangu wanaona ninaaibishwa.
Hata sielewi alikuwa akimaanisha nini''.Amesema kuwa ndo yake ilikuwa taabani na kwamba kitendo hicho hakikustahili kufanyika.Si mara ya kwanza amenichafulia jina katika mtandao wa kijamii.
Niliamua kumpa talaka kabla ya kuyatamgaza maisha yangu katika mitandao ya kijamii.'',
Khalid Al Habibi naibu mkurugenzi wa kituo cha kijamii kinachojihusisha na watoto mayatima anasema kuwa mitandao ya kijamii ni chanzo kikuu cha talaka.

Related Posts:

  • WANAJESHI WA UINGEREZA WAWASILI SOMALIA…!! Kikosi kidogo cha jeshi la Uingereza kimewasili nchini Somalia kusaidia wanajeshi wa muungano wa Afrika walioko huko. Karibu wanajeshi 10 wa uingereza watafutiwa na kikosi kingine cha wanajeshi 70. Watasaidia kutoa … Read More
  • BALOZI WA SAUDI ARABIA AMEPEWA SAA 48 KUONDOKA ROMANIA… Balozi wa Saudi Arabia nchini Romania ambaye anakabiliwa na tuhuma ya kumbaka na kumuua sekretari wake, amepewa masaa 48 afungashe virago na kuondoka nchini humo. Mtandao mmoja wa Habari nchini humo umeripoti kwamba, … Read More
  • COLOMBIA YAHALALISHA NDOA ZA JINSIA MOJA…! Mahakama ya juu zaidi nchini Colombia, imehalalisha rasmi ndoa za wapenzi wa jinsia moja nchini humo. Hatua hiyo inaifanya Colombia kuwa taifa la nne kuhalalisha ndoa hizo katika mataifa ya Kilatino, Amerika Kusini. … Read More
  • SARAFU ZA KIRUMI ZAPATIKANA UHISPANIA..!! Katika hali ya kushangaza wafanyikazi wa ujenzi kusini mwa Uhispania, wamegundua akiba kubwa ya sarafu za kale za Kirumi nchini humo. Wafanyakazi hao wamegundua sarafu hizo,wakati wakifanya ukarabati kwenye mabomba ya m… Read More
  • ASHINDA TUZO AKIWA MAHABUSU…..!! Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THDRC), umempa tuzo ya mwaka George Mgoba aliye mahabusu akikabiliwa na shtaka la kuandaa kinyume cha sheria maandamano ya vijana, waliomaliza mafunzo ya Jeshi la Kujenga T… Read More

0 comments:

Post a Comment