Tuesday, 10 March 2015

Apple yaja na Saa za kisasa..

Kampuni ya Apple imezindua saa ya kisasa ambayo inauwezo wa kupiga simu,kupokea barua pepe,kucheza muziki na kufuatilia masuala ya afya na mazoezi. Kampuni ya Apple Inc itaanza kuuza saa zake mpya mnamo mwezi April 24 mwaka huu, na bei ya kuanzia sokoni itakuwa dola 10,000 ama paundi 6,611 na bidhaa yake ya kwanza ghali ilitolewa miaka mitano iliyopita katika malengo ya kuongeza wigo wa bidhaa zake hasa vifaa vya simu za mkononi. Sasa hiyo kutoka kampuni ya Apple ya kimichezo kwa zile ndogo zina milimita thelathini na nane itauzwa kwa dola 349 na saa kubwa itauzwa kwa dola 549 na bidhaa ya mwisho itauzwa kwa dola elfu kumi ,hii ni kwa muujibu wa Afisa mtendaji wa kampuni hiyo , Tim Cook said mapema wiki hii.

Related Posts:

  • Viapo vya ndoa havitekelezeki..!!! Ahadi ya kuwa pamoja maishani katika shida na raha,taabu na shida viapo hivi ama ahadi hizi zinaonekana kuchukuliwa kirahisi mno na wanandoa wapya, lakini kwa muujibu wa utafiti mpya uliotolewa hivi karibuni unathibitisha k… Read More
  • Waumini wakatwa sehemu zao za siri ili wamuone mungu!..!!! Ishu ya imani ni ya mtu binafsi na kila mtu ana uwezo wa kuamini kile anachoona ni sahihi kwa mtazamo wake na mtu anapotokea kumuamini kiongozi wake wa dini kwa asilimia kubwa hutekeleza yale anayofundishwa. Sasa hii ya le… Read More
  • Wanawake wakulima wanaweza kutokomeza njaa Wakati wa kuelekea siku ya wanawake duniani,viongozi wa Shirika la Chakula na Kilimo duniani(FAO),Mfuko wa Kimataifa wa Kilimo na Maendeleo(IFAD)na Shirika la Mpango wa Chakula Duniani(WFP) wamekutana mjini Roma,Italia ili … Read More
  • Ndege inayotumia umeme jua yarukwa kwa mara ya kwanza.. Jaribio la kwanza la ndege inayotumia umeme jua limefanyika leo baada ya ndege hiyo kufanikiwa kuanza kuruka asubuhi ya leo juma tatu tarehe 9/3/2015. Ndege hiyo iliruka majira ya saa 12 saa za Afrika Mashiriki ikianzia Ab… Read More
  • Huyu ni Mbwa anayegundua saratani kwa binaadamu!! Watafiti wa Marekani wanasema kuwa mbwa amefanikiwa kunusa ugonjwa wa saratani ya koromeo yaani thyroid ambayo wakaguzi walikuwa hawakuiona. Mbwa huyo kutoka Ujerumani kwa jina Frankie alifundishwa kunusa mikojo ya watu wa… Read More

0 comments:

Post a Comment