Saturday 21 March 2015

Jana Sauti ya furaha ilisikika duniani kote..!!!

Tarehe 20 Machi kila mwaka ni siku ya furaha duniani, Umoja wa Mataifa umeandaa kampeni ya kukusanya maoni ya watu kutoka duniani kote ikitaka wakijibu swali , Je sauti ya furaha ni ipi?
Na ni wimbo gani unaokupatia  furaha zaidi?
Kampeni hiyo iliongozwa na wasanii  mbalimbali wakiwemo Cody Simpson na Pharell Williams.

Sikiliza taarifa ya mwandishi wa Un Radio Priscilla Lecomte ambaye ameandaa makala hii ikikuletea sauti za furaha kuanzia Umoja wa Mataifa hadi Afrika Mashariki.

0 comments:

Post a Comment