Monday 16 March 2015

Moto waunguza Hostel za Wasichana Mabibo Asubuhi hii







Moto ambao haujafahamika mara moja chanzo chake, umeteketeza baadhi ya mali za wanafunzi wa chuo kikuu cha Dar Es Salaam wanaoishi katika Hostel za Mabibo.
Taarifa zinaeleza kwamba wanafunzi wakishirikiana na baadhi ya raia wamefanikiwa kuudhibiti moto huo, huku baadhi ya mali za wanafunzi wa kike katika hoteli hizo zikiteketea.
Hata hivyo wanafunzi hao waeelekeza lawama kwa kikosi cha zima moto ambao kinadaiwa kutofika kwa wakati.

unaweza msikia mmoja wa wanafunzi wanaokaa katika hostel hiyo akifunguka kuhusiana na moto huo,futa link hii

https://www.hulkshare.com/kiwamkali/mwanafunzi-mwingine

0 comments:

Post a Comment