Saturday, 21 March 2015

YAHOO kufunga Ofisi zake China..!!


Kampuni ya mtandao YAHOO inatarajiwa kufunga ofisi yake ya mwisho katika eneo la China bara.
Kampuni hiyo kama kampuni nyengine za kiteknologia imekuwa ikikabiliwa na ushindani mkubwa nchini Uchina kutoka kampuni nyengine za mtandao.
Takriban ajira 300 zitapotea.
Yahoo ilisitisha utoaji wa huduma za kutuma ujumbe kwa kutumia njia ya Email kwa wateja wake nchini Uchina mnamo mwaka 2013.
Katika taarifa yake,kampuni hiyo imesema kuwa inaunganisha baadhi ya huduma zake ili kuimarisha ushirikiano.

Related Posts:

  • MHUBIRI ALIYEKUWA NA WAKE 86 AFARIKI NIGERIA.. Mhubiri mmoja wa zamani wa Kiislamu nchini Nigeria ambaye alikuwa na takriban wanawake 86 ameaga dunia akiwa na umri wa miaka 93. Mohammed Bello Abubakar alifariki nyumbani kwake katika jimbo la Niger siku ya Jumamosi, … Read More
  • ASKARI WA MAREKANI AUWAWA YEMEN Jeshi la Marekani limesema askari wake mmoja ameuawa na wengine watatu kujeruhiwa katika shambulizi lake lililokuwa limeelekezwa kwa kikundi cha al-Qaida huko Yemen. "Tumesikitishwa sana na kifo cha askari wetu katika k… Read More
  • JPM AWATAKA VIONGOZI KUWAENZI WATANGULIZI WAO… Jengo la Amani na Usalama lililopo Makao Makuu ya Umoja wa Afrika (AU) mjini Addis Ababa nchini Ethiopia, limetangazwa rasmi kuwa litaitwa Mwalimu Julius Nyerere. Jengo hilo limepewa jina hilo rasmi katika hafla iliyofan… Read More
  • MATIBABU YA KIFAFA CHA MIMBA….. Kifafa cha mimba ni ugonjwa unaowapata wanawake wajawazito, hasa wenye mimba za kwanza. Kwa walio wengi, ugonjwa huu hutokana na kupanda kwa msukumo wa damu (High blood pressure). Ugonjwa huu utokeapo, mgonjwa hupat… Read More
  • DAR, LINDI NA MTWARA VINARA WA UKOMA TANZANIA.. Tanzania imeadhimisha Siku ya Ukoma Duniani tar 28 1 2017 ambapo mikoa ya Lindi, Morogoro, Dar es Salaam, Tanga na Mtwara imetajwa kuwa miongoni mwa mikoa 11 yenye idadi kubwa ya wagonjwa wa ukoma. Taarifa iliyotolewa… Read More

0 comments:

Post a Comment