Tizama video hapo chini kile alichokizungumza Yusuph manji, mara baada ya kutajwa na Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam kama mmoja wa wale anaowahitaji kituo cha polisi kwa mahojiano juu ya sakata la dawa za kulevya nchini.
VIDEO:POLISI WAZUNGUMZA KUHUSU KULIPULIWA OFISI ZA MAWAKILI…
Kufutaia tukio la kulipuliwa kwa
ofisi za immma advocates, ambazo inaelezwa kuwa hutumiwa pia na wakili fatma
karume.
jeshi la polisi kanda maalumu ya
dar es salaam, leo limetoa taarifa kuhusu kulipuliwa kwa ofisi hiz…Read More
LIVE: KESI YA UCHAGUZI KENYA..
Kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi uliofanyika hivi karibuni huko nchni kenya,inaendelea kusikiliwa katika mahakama nchini humo
…Read More
0 comments:
Post a Comment