Thursday, 9 February 2017

FULL VIDEO: ZIARA YA KUSTUKIZA YA RAIS MAGUFULI AIRPORT DSM.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, February 08 2017 amefanya ziara ya kushtukiza katika mradi wa ujenzi wa jengo jipya la Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam  Terminal 3.
Tizama  video hapa chini ina taarifa kamili

Reactions:

0 comments:

Post a Comment