Wednesday, 1 February 2017

MAANDAMANO DHIDI YA TRUMP YAPAMBA MOTO…

Maelfu ya watu pasina kujali dini na rangi zao wameshadidisha maandamano katika kona mbali mbali za Marekani, kulaani sheria tata ya ubaguzi iliyopasishwa na Rais Donald Trump wa nchi hiyo hivi karibuni.

Maandamano hayo yamepamba mto katika maeneo ya Minneapolis, Minnesota, Massachusetts, New York, South Carolina Columbia na Virginia, huku waandamanaji wakibebe mabango yenye jumbe za kukosoa ubaguzi wa Trump.
Baadhi ya mabango hayo yalikuwa na maneno yanayosema, "Wakimbizi karibuni, mnakarabishwa hapa."

Reactions:

0 comments:

Post a Comment