Friday 3 February 2017

VIDEO MPYA: DIAMOND FT NE-YO-MARRY YOU

Baada ya kusubiriwa kwa muda mrefu video ya Diamond Platnumz ya wimbo wake Marry You aliomshirikisha Ne-Yo imetoka. Kwa mara ya kwanza video hii imewekwa kwenye channel ya Vevo ya staa huyo.

0 comments:

Post a Comment